Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema mtangulizi wake Robert Mugabe alikuwa amesahau kwamba alikuwa amemfuta kazi kama makamu wake.
Amesema waliwasiliana wakati wa mzozo ambao hatimaye ulipelekea kuondolewa kwake madarakani.
 
Bw Mnangagwa aliyasema hayo Alhamisi wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini Msumbiji, tovuti ya New Zimbabwe imeripoti.
Bw Mnangagwa amesema baadaye Bw Mugabe alimhimiza kurejea Zimbabwe, lakini alimjibu kuwa "kuna watu wanaoukuzunguka ambao wanataka kuniangamiza."
 
Hata hivyo, alisema hilo limekuwa likiwatia moyo wahalifu.
"Sijakuwa nikiidhinisha kunyongwa kwa waliohukumiwa kwa sababu mimi ni Mkristo lakini kwa sababu yangu kutokuwa mkali, hilo linawafanya baadhi ya watu kufikiria wanaweza kutenda uhalifu na kuponyoka," alisema, na kuongeza huenda akaamua kuidhinisha kunyongwa kwa watu kadha.
 
Ni miaka 13 sasa tangu Uganda ilipotekeleza hukumu ya kifo dhidi ya wahalifu.
Bw Museveni alisema hayo wakati wa sherehe za kuhitumu kwa askari wa idara ya magereza, katika gereza la Luzira mjini Kampala.
Lakini kuna watetezi wa haki za kibinadamu wameshutumu tamko hilo la Rais Museveni na kusema adhabu ya kifo hayikomeshi uhalifu.
 
Mara ya mwisho Museveni kudihinisha hukumu ya kifo itekelezwe ilikuwa katika gereza la Luzira mwaka 1999.
Kadhalika, aliidhinisha mahakama ya kijeshi kutekeleza hukumu ya kifo mwaka 2005.
Mwaka 1999 watu 27 katika gereza la Luzira hapa mjini Kampala walinyogwa akiwemo Musa Ssebulimbi wa chama cha UPC.
 
Kwa jumla, Uganda ina wafungwa 278 ambao wamehukumiwa kifo.
Nchini Uganda, kuna makosa 28 ambayo adhabu yake ni kifo, idadi ya juu zaidi ya makosa kama hayo Afrika Mashariki.
Mtetezi wa haki za kibinadamu Uganda Livingstone Ssewanya amesema kuwanyonga wafungwa hakuwezi kumaliza uhalifu.
 
Nakubali nakubali
 
Maoni yetu ni kwamba kuwanyonga wahalifu hawa hakutapunguza uhalifu nchini kwani tayari imeshathibitishwa kwamba adhabu ya kifo sio suluhu ya makosa ya mauaji," ameambia BBC.
"Hatua mwafaka ni kuwa na vitengo bora vya usalama na kufuata sheria."
Visa vya uhalifu vimeongezeka nchini Uganda miaka ya karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…