Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mojawapo ya nadharia ngumu kabisa kueleweka (najizungumzia mwenyewe tu)
ab1b8463e6d4bf70ec923177123d0a24.jpg
 
Being an asshole can never be compared with being nice - regardless of the (end) results...

Aliyekutibua huyo ashindwe na alegee...and you couldn't be an asshole even if you tried [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao 1-0 wakiwa ugenini dhidi ya Burnley.



Bao pekee la Martial dakika ya 54 lilitosha kuipatia pointi tatu kikosi hicho cha Mreno, Jose Mourinho na kukifanya kuwa na alama 53 katika msimamo wa ligi ya England nyuma ya Manchester City ambao wana 62.
 
Dili ambalo pia linamuhusisha Henrikh Mkhitaryan ambaye tayari kila kitu kipo sawa na Sanchez tayari ameshaanza safari ya kwenda Kusini mwa jiji la Manchester kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya leo siku ya Jumamosi huku akitarajiwa kupokea mshahara wa paundi 450,000 kwa wiki.
 
Timu nzima ya watabibu wa United walikuwa na kikosi huko Turf Moor kwaajili ya mechi yao lakini wanampango wa kukutana na mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Chile baada ya mchezo huo.

Ingawa mpaka sasa timu nzima iliyosimamia zoezi hilo haijazungumza chochote meneja wa kikosi hicho, Jose Mourinho akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao dhidi ya Burnley amesema watu watarajie hivi karibuni ujio wa mchezaji huyo.
 
Watarajie hivi karibuni, kama hautofanikiwa basi hautokuwepo tena usajili huo, nafahamu watu wangu hufanya mambo kwa uhakika ninahakika watafanikiwa katika zoezi hili,” amesema Mourinho akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya mchezo dhidi ya Burnley.
 
Jamie Vardy alikuwa wa kwanza kuiyandikia bao Mbweha hao wa England dakika ya 39 kabla ya Mahrez kuhitimisha karamuhiyo ya mabao kwa kufunga dakika ya 90.

Kwa matokeo hayo sasa Leicester inakuwa nafasi ya saba kwakuwa na jumla alama 34 wakati Watford ikiwa ya 10 katika msimamo wa ligi kwa kujikusanyia pointi 26.
 
Katika mchezo huo uliyokuwa na mvuto na kushambuliana kila pande timu ya West Brom ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa mchezaji wake Rodriguez kunako dakika ya 7 kabla ya Oumar Niasse kuisawazishia the Toffees katika dakika ya 70.

Kwa matokeo hayo sasa Everton inakuwa katika nafasi ya tisa mwa msimamo wa ligi ya England kwa kuwa na jumla ya pointi 28 wakati West Brom wakiwa katika nafasi ya 19 kwa kuwa na alama 20.
 
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao 1-0 wakiwa ugenini dhidi ya Burnley.



Bao pekee la Martial dakika ya 54 lilitosha kuipatia pointi tatu kikosi hicho cha Mreno, Jose Mourinho na kukifanya kuwa na alama 53 katika msimamo wa ligi ya England nyuma ya Manchester City ambao wana 62.
 
Back
Top Bottom