Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Katika kipindi cha miaka minne, wanawake 20 waliuawa katika mji wa Kampala na viunga vyake katika hali ya kutatanisha.
Baadhi ya wakosoaji wamesema polisi nchini humo huangazia zaidi kuwaandamana wapinzani wa Museveni badala ya kukabiliana na wahalifu.
Baadhi ya wakosoaji wamesema polisi nchini humo huangazia zaidi kuwaandamana wapinzani wa Museveni badala ya kukabiliana na wahalifu.