Bro...Pole. Love hurts....Unanicheka wakati inakuhusu.
Good wordsEveryone is beautiful in their own way because God makes no mistakes.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata sijui hawa raia wakoje huko waliko
Ni poa sana sijui kwako
View attachment 680880
Those eyes[emoji7][emoji7][emoji7]
Imagine ni mambo mengine mangapi hakumbuki?Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema mtangulizi wake Robert Mugabe alikuwa amesahau kwamba alikuwa amemfuta kazi kama makamu wake.
Amesema waliwasiliana wakati wa mzozo ambao hatimaye ulipelekea kuondolewa kwake madarakani.
Mojawapo ya maajabu ya kale. Mawe makubwa ya tani zaidi ya 50 yamepangwa vizuri juu ghorofani kama yamechomelewa. Mpaka leo hakuna anayejua ilivyowezekana kuyapandisha juu mawe hayo na kuyachomelea.
Machu Picchu, Peru.
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3], mkuu habari.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Halafu nchi ilikua inaendeshwa na mkewe. Maana atakua alikua anasahau mengiImagine ni mambo mengine mangapi hakumbuki?