Wengaaaaaaaaaaaa !!!!Ligi kuu ya England imeendelea hii leo kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huko Emirates klabu ya Arsenal imeweza kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 4 – 1 bila mshambuliaji wake raia wa Chile Alexis Sanchez ambaye yupo mbioni kujiunga na Manchester United.
Karibu...Hello JF