Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kusaidia mzunguko wa damu
Ukioga kwa kutumia maji ya moto husaidia kusisimu na kuitanua mishipa ya damu hivyo kuwezesha damu kuwa na mzunguko mzuri mwilini.
 
Inasemwa kuwa “wewe ni kile unachokula” kwa kumaainisha kuwa mwonekano wetu na afya ya mwili na akili unajengwa na chakula tunachokula. Madhara ya chakula chetu tunachotumia yako pia katika ngozi. Kuna vyakula vinavyozeesha ngozi kwa haraka na ni budi kuvijua na kuviepuka.
 
Vyakula hivi japo tunavipenda sana lakini vina athari mbaya kwa miili yetu na muhimu kujenga tabia ya kuviacha katika milo yetu. Kama si rahisi kuacha kabisa basi angalau kupunguza matumizi yake.
 
Mojawapo ya vyakula vinavyozeesha ngozi ni nyama hasa nyama nyekundu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa nyama nyekundu inayotokana na wanyama kama ng’ombe,mbuzi,kondoo,nguruwe n.k ni mbaya kwa afya njema ya binadamu na hivyo kwa ngozi pia. Nyama nyekundu ina kemikali aina ya carnitine ambayo inafanya mishipa ya damu kukakamaa na kusababisha kuzeeka kwa ngozi.

Hivyo nyama nyekundu ni mojawapo ya vyakula vibaya kwa afya ya binadamu na vya kuvizuia.
 
Sukari japo tunaipenda sana ni adui mkubwa wa afya ya binadamu. Inadhoofisha mfumo wa kinga za mwili. Kiasi kingi cha sukari mwilini kinafanya ngozi kuwa kavu na kufanya mwili utengeneze makunyazi kwa sababu inaharibu kemikali ya collagen na elastin ambazo zinafanya kazi ya matengenezo ya ngozi kuifanya isiharibike na kuwa chakavu.
 
Sukari nyingi inasababisha mwili kukosa nguvu ya kupambana na bacteria wabaya. Ongezeko la bacteria hawa kunafanya utengenezwaji wa kemikali mbaya ambazo husababisha uchakavu wa ngozi.
 
Watu wanashauriwa kutumia sukari asilia kama ya matunda na asali kuliko zile zinazopatikana katika vinywaji kama soda na pipi , jojo,biskuti au vitafunwa vingine vyenye sukari ya kuongeza.
 
Vyakula vya kukaangwa kama chipsi,nyama za kukaanga vinasababisha uingizaji wa mafuta mengi mwilini. Mafuta haya yenye vitu vinavyoitwa “Free Radicals” yanasababisha uzibaji wa vijitundu katika ngozi. Ukiachia ngozi mafuta mengi mwilini yanasababisha madhara mengi mengine yakiwemo magonjwa ya moyo na kisukari.
 
Vyakula vya kukaangwa kama chipsi,nyama za kukaanga vinasababisha uingizaji wa mafuta mengi mwilini. Mafuta haya yenye vitu vinavyoitwa “Free Radicals” yanasababisha uzibaji wa vijitundu katika ngozi. Ukiachia ngozi mafuta mengi mwilini yanasababisha madhara mengi mengine yakiwemo magonjwa ya moyo na kisukari.
 
Katika ulimwengu wa mitindo lazima tukubali kuwa inasaidia kutufundisha na kutupa maujuzi mbalimbali, nakukaribisha katika ulimwengu wa mitindo na leo nakuleta habari kuhusu urembo wa kuvaa pete.
 
Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ukimuona mtu amevaa pete basi unajua huyu anakaribia kuolewa au ameshaolewa, ila kwa ssa kuvaa pete za urembo zenye nakshi nakshi ni kitu cha kawaida na huvutia vidole vya mtu husika.
 
UNAVAAJE:

Ukitaka ubvae pete hizo basi hakikisha una pete zaidi ya tatu zenye mionekano tofauti, kisa vaa katika vidole vyako. Pete yenye herufu ya jina vaa kidole cha kati ili kuvutia zaidi.
 
FAHAMUFacts: Mambo 12 ambayo wafuatiliaji wengi wa hip hop hawayajui



Bila shaka hip hop ni muziki ambao una mashabiki wengi zaidi duniani kutokana na kugusa maisha ya wengi.

Wafuatailiaji wa muziki huo wamekuwa katika msisimko wa aina yake miaka nenda rudi, hata hivyo kuna baadhi ya vitu vya nyuma ya pazia ambayo hawavijui. Hapa nimekuwekea mambo 12 ambayo wafuatiliaji wengi wa hip hop hawayajui.
 
Msanii Shaq amewahi kufikisha mauzo ya platinum katika album wakati Gang Starr hajawahi kufanya hivyo, Shaq alifanya hivyo kupitia albamu yake Shaq Diesel.
 
Back
Top Bottom