Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini ni katika hesabu ya wapiga kura wanaoyumbayumba, leo wako upande huu na kesho upande ule na huenda katika miezi ijayo wanaweza kurejea katika kambi ya Trump, pale, kwa mfano, Marekebisho ya Sheria ya Kodi yatakapoonyesha athari nzuri.
 
Washabiki wa kweli wa Trump, kama ilivyokuwa kabla, hawatetereki. Sita kati ya kumi ambao bado wanamuona Rais anafanya vizuri katika kazi yake, yaonyesha hawawezi kufikiria kitu kitakachowazuia wasimchague tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…