myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
13:30
Bahati mbaya mengi yenye mizigo Km hili hakili zinakuwepo makalioni.
Ukilisifia kidogo tu linachanua.
Andjul ana kazi sana
Umenena mkuuitikadi zetu sio uadui,ni mawazo tu tofauti..
TUPENDANE...
JakitooShkamooo dadiii, Za kwako?
Hivi nauli kiasi gani kutoka hapa kwenda Mwakaleli?Tena ndizi Mwakaleli zimekubali kweli kweli !!!
![]()
Nahisi vijana washabadiri jina.Siku hizi mnaitaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha tuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] habari yako jakitoo, naona unamwaga shikamooo za kutosha kwa mkoromije[emoji3] [emoji3]. Safi sana
Hivi Vitanda vya chuma vinauzwa wapi?Msiweke comment yo yote hapa mpaka Mwenyekiti wetu mzalendo sana Mh. andjul aje kwanza atie neno...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Hapana dadii jamani mbona nakusalimiaga kuleee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Za kwangu njema sana. Yaani siku hizi kuniamkia mpaka nikukumbushe? Adhabu utakayoipata hutakaa uisahau.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkoromije wangu [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji182] [emoji182]Kamalizwa na penzi la Mkoromije huyo. Wakoromije washamba lakini wakiamua kupenda wanaweza kuuza mpaka mashamba ya urithi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]