myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
likes za mchana
Shkamooo dadiii, Za kwako?Naomba shikamoo yangu. Plizi....q
Jamani jiraniiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️akipepeseka KAUA mtoto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] habari yako jakitoo, naona unamwaga shikamooo za kutosha kwa mkoromije[emoji3] [emoji3]. Safi sanaShkamooo dadiii, Za kwako?
jirani hayo makitu mnayokula, kwa wadada yanaleta shidaJamani jiraniiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Za kwangu njema sana. Yaani siku hizi kuniamkia mpaka nikukumbushe? Adhabu utakayoipata hutakaa uisahau.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shkamooo dadiii, Za kwako?
Kamalizwa na penzi la Mkoromije huyo. Wakoromije washamba lakini wakiamua kupenda wanaweza kuuza mpaka mashamba ya urithi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] habari yako jakitoo, naona unamwaga shikamooo za kutosha kwa mkoromije[emoji3] [emoji3]. Safi sana
Shida gani tena? Fafanua jirani...jirani hayo makitu mnayokula, kwa wadada yanaleta shida
View attachment 682157
Mafinyufinyu
Zamani tuliita tenki
Siku hizi mnaitaje?Zamani tuliita tenki
Hii wapi mkuu