carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ngoja aamke nimwambie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]1. Upendo wa dhati – “I love you”
Wanaume wengi hujiona wagumu kwenye kutamka neno ‘I love you’ kwa wanawake zao na hata akisema itakua ni mara chache chache hata kama kweli kutoka moyoni wanapenda, lakini haina maana hawataki kuambiwa na watu wanaowapenda, hii huwaaminishia nafasi yao kwenye moyo wa mwanamke.