Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3019.jpg

Numbisa, mbona unatutega namna hii? Mwezi January ni mwezi dume ujue, ooh! [emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Uchebe ndio nani huyo? Sawa bhana, wacha niendelee kukandamiza dona na dagaa hapa Nansio, hii January itake/isitake lazima ifike mwisho; Insha Allah!
Mume wa shilole jamaa anabaki home kulea watoto huku shilole akichakalika kutafuta pesa. Nansio wapi!!! Mtu upo kwa Trump huko ukila mipiza na mibaga

Yoyooooo kidogo nijikwae shida hii kila siku najigonga sababu ya kutupia magazet JF. Likes hizi daah. Midaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]... Acha ukorofi we Numbisa! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom