[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Nimeamka, embu nimwagie hiyo, ILU! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Miguu kujaa?Eti, ngozi kubonyea hivi huwa ni (chanzo cha) tatizo gani?
![]()
Pasi ya mkaa
sukari au figo..ila dr ndie atasema zaidiEti, ngozi kubonyea hivi huwa ni (chanzo cha) tatizo gani?
![]()
uko vizuri...Miguu kujaa?
Husababishwa na retention ya fluid kwenye tissues za mwili.
Mara nyingi husababishwa ma matatizo ya moyo(heart failure,cardiomyopathy(shida kwenye misuli ya moyo hupelekea moyo kutanuka),matatizo kwenye figo(kidney failure acute na chronic),kusimama ama kukaa kwa muda mrefu,ujauzito pia n.k