Waaaaoww BAK ukiweza leta picha nyiiingiii za style hizi. Likes zipo za kumwagaaaMasaa mangapi yametumika hapa?
Waaaaoww BAK ukiweza leta picha nyiiingiii za style hizi. Likes zipo za kumwagaaa
Uliijulia wapi?Pasi ya mkaa
Asante daktari...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Miguu kujaa?
Husababishwa na retention ya fluid kwenye tissues za mwili.
Mara nyingi husababishwa ma matatizo ya moyo(heart failure,cardiomyopathy(shida kwenye misuli ya moyo hupelekea moyo kutanuka),matatizo kwenye figo(kidney failure acute na chronic),kusimama ama kukaa kwa muda mrefu,ujauzito pia n.k
Wow[emoji7]
Pig island, the Bahamas.
Najaribu jirani[emoji120][emoji120]uko vizuri...
Mi muhenga ujue?Uliijulia wapi?
[emoji120][emoji120][emoji120]karibu tenaAsante daktari...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kulingana na mkono wa msusi. Kuna wengine wanatumia masaa matano. Wengine masaa saba. Kwa huyo katumia matano.Aha! Kumbe unapenda sana nywele zako eeh! Hongera aisee. Sawa nafasi ikiruhusu nitaweka kwenye uzi wetu huu mwanana, lakini hujajibu swali kusuka style hii unaweza kukadiria ni masaa mangapi yametumika. Kama msusi alikuwa mmoja?