[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wafanyakazi katika kiwanda cha matofali kusini mashariki mwa China wanaokidai kiwanda hicho mishahara yao yenye thamani ya $14,050, wamelipwa matofali, inaripotiwa.
Kwa mujibu wa shirika la habari Xinhua, takriban wafanyakazi 30 wa kiwanda hicho huko Nanchang, katika jimbo la Jiangxi , walikubali kulipwa matofali 290,000 badala ya mshahara wanaodai.
Namuunga mkono treasurer wetu mh. BAK. Yeye anaweka vitu vikali model type mi naenda idara ya juu kidogo ya majimama. Kwema huko lakini?Mkuu mjasiri haachi asili, ulidai kustaafu lakini umerudi tena kukitumikia cheo chako. Safi sana
Mwakaleli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema Mungu anasaidia[emoji120] [emoji120] [emoji120] , sijui huko dadiii?Yessssssssssssss !!!
Binti mwema, kwema huko?
Huku kwema mkuu, umenifanya nichake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Namuunga mkono treasurer wetu mh. BAK. Yeye anaweka vitu vikali model type mi naenda idara ya juu kidogo ya majimama. Kwema huko lakini?