Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

32b39ada7e0196cdb9ff56b969035be2.jpg
 
Jamani jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Wee mkolomije ni tatizo sana.

Uwe na siku njema[emoji120] [emoji120]
Nawe pia ndugu yangu. Natumaini kuwa majeraha yanapona pole pole. Tuendelee kumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hakika Mungu ni mwema. Mwaka tuliumaliza kwa machungu sana,lakini yeye tumtumainiae hajatuacha peke yetu.
Tuzidi kumuomba Mungu ili aendelee kuunyosha mkono wake wa faraja
 
Amen ndugu yangu. Ratiba yangu mwishoni hapo ilikuwa hovyo vinginevyo ningefika kuwaona wapwa zangu na kuwapa pole. Mwezi wa nne Mungu Akipenda basi itakuwa.
 
Back
Top Bottom