Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9e3cb0dc6965998b9841e06809587f2a.jpg
[emoji165] nimejikuta nimeivua miwani ya macho ili niiperuzi vizuri hii picha. Ila kuna sehemu haionekani vizuri, ngoja nikatafute kioo mbinuko
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji165] nimejikuta nimeivua miwani ya macho ili niiperuzi vizuri hii picha. Ila kuna sehemu haionekani vizuri, ngoja nikatafute kioo mbinuko
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yaani mpiga picha angerudi nyuma kidogo tu,ungeona ramani ya afrika mashariki[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Japo kuwa kuna Njia kama Polygraph ambayo ni mashine ya kupimia joto la mwili na mapigo ya moyo wako unapojibu maswali ya kweli na ya uongo, pia kuna njia nyingine nyingi za kutambua mtu kama anadanganya au anasema ukweli kwa kumuangalia. Unapoulizwa swali na jinsi utakavyojibu swali hilo kutaelezea zaidi kama unadanganya au unasema kweli.
 
Msema kweli siku zote hutoa maelezo zaidi ya mtu muongo maana mtu muongo anajitahidi sana kusema machache ili asingundulike, na vile vile mtu mwongo siku zote hufikiria sana cha kujibu na hata kama atakujibu kwa haraka basi sauti yake kwenye sentensi itapishana tangu anaanza kujibu swali mpaka mwisho, kwa kuaanza taratibu na kumaliza kwa kaharaka ikiwa anakua tayari anafahamu cha kuongea ambacho hakuwa nacho pale ulipomtwanga swali la ghafla.
 
Pia mtu anayesema uongo huwa ni mwenye kujitetea sana kwa alichokifanya, na kukuangalia kwa makini kama unamchunguza na pengine hata kukukaripia kama anaweza. Njia nyingine inayotumika sana ni kurudia swali ulilouliza wewe alafu ndo anaanza kujibu, hiyo ni njia ya yeye kutafuta muda wa kufikiria jibu gani akupatie la haraka.
 
Muangalie mtu unayemuuliza machoni, endapo atasema ukweli hatakua anakwepesha macho yake au kushindwa kukuangalia wewe machoni. Na pia atakavyokua anafikiria cha kujibu utagundua tu kama anafikiria akutungie jibu au anafikiria kukuelezea jibu la kweli na hapo anafikiria tu aanzie wapi.
 
Back
Top Bottom