Zipo ngozi za aina tofauti tofauti kati ya mtu mmoja na mwingine. Wapo wenye ngozi kavu, zenye mafuta na wenye ngozi za kawaida.
Hahahahhaaa nimeshajua ulichochekea daah watu mna maana zenu![]()
Baada kajiuchunguzi kidogo nimeishia kucheka tu
Another man food is another man poisonOne man trash is another man treasure
When you miss other kissAnother man food is another man poison
Bwana weee hata mimi nimeshtuka kuona post yakoMkuu nilidhani tulikuacha mwaka jana!
Hongera kwa kuwa upo mkuu.
Happy new year carba nimeona kapicha kako mahaliWeeeee!hebu nitoe hapo,me simo kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]labda nsamaka
Carba herself
Andjul niambie mzee wa kyelaEnheeeeeeee.....
Huku tuna mshukuru Mungu maana siku 700 za January ndio zinaishiaMi bukheri kabisa namshukuru Mungu.
Sijui wewe huko uliko
DuuHaswaaaaa....
Naomba tu nikiri kuwa raha ya duniani huwa naipatiaga hapo kwa kweli..
Carba naye ni kibonge? E bwana eeee [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Carba herself
Omwana[emoji818][emoji818][emoji818]
The darker the berry the swita da juisi....
Nipo mkuu,kwema?Andjul niambie mzee wa kyela