Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1516903975746.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki ugomvi mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Leo nakuamru. Leo hii bila kukosa. Itisha kikao cha dharura cha ukoo haraka. Leo hii hii...halafu unipe mrejesho leo hii hii. Ukipuuzia nanuna mwezi mzima...Leo hii hii bila kukosa. Please usipuuzie...
 
Andjul hiyo itamfaa na parachichi lake analojivunia humu...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Nene,refu zito lililopinda kama [emoji449] [emoji449] [emoji449]
Aki andjul sijui huwa anafikiriaga nini[emoji23][emoji23]
 
Mtu aliyekua ni yule anayekubali kushindwa, anayekubali wajibu wake, anayeilinda heshima yake na kuwa kila jambo linalotokea kwenye maisha yake ni kutokana na uchaguzi wake wa mambo na si anawasingizia wengine. Mtu huyu hufanya maamuzi na kuyakabili matokeo ya maamuzi aliyoyafanya.
 
Back
Top Bottom