Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-01-25-21-09-58.png
 
Sanaaa...
Kabisaaaa
Samahani mkuu,mnaongelea kuhusu nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nauza parachichiiiii[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Parachichi nene,refu tena zito tena limepinda kama[emoji449] [emoji449] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafwaaaaa
 
Kuungua kwa watoto kwa moto ni moja ya ajali zinazotokea sana mara kwa mara na huwakuta wakiwa majumbani mwao. Asilimia 70 ya kuungua kwa watoto huwa ni wao wenyewe ndio hujitumbukiza katika ajali hizi pasipo kujijua au kudhamiria.
 
Ikumbukwe kuwa ngozi ndio ogani kubwa kuliko zingine mwilini, ikiundwa na tando kuu tatu. Ngozi ina kazi ya kukukinga na miale hatari ya jua, kuzuia maji yasipotee mwilini, kutoa uchafu mwilini, hutengeneza vitamin D, pia ni kama urembo wa kupendezesha mwili.
 
Mara nyingi watoto huunga kwa kugusana na kitu kilichopata moto kama pasi, maji yaliyochemka na kugusana ma mwale wa moto mkavu. Makali ya jeraha hutofautiana kulingana na ajali ya moto ambayo mtoto amepata.
 
Back
Top Bottom