Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki ugomvi mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Leo nakuamru. Leo hii bila kukosa. Itisha kikao cha dharura cha ukoo haraka. Leo hii hii...halafu unipe mrejesho leo hii hii. Ukipuuzia nanuna mwezi mzima...Leo hii hii bila kukosa. Please usipuuzie...
 
Nene,refu zito lililopinda kama [emoji449] [emoji449] [emoji449]
Aki andjul sijui huwa anafikiriaga nini[emoji23][emoji23]
 
Mtu aliyekua ni yule anayekubali kushindwa, anayekubali wajibu wake, anayeilinda heshima yake na kuwa kila jambo linalotokea kwenye maisha yake ni kutokana na uchaguzi wake wa mambo na si anawasingizia wengine. Mtu huyu hufanya maamuzi na kuyakabili matokeo ya maamuzi aliyoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…