Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mlale unono jamani[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Yaani leo umejua kunifurahisha kwakweli
...ila wengine ni sawa zaidi kuliko wengine...Binadamu wote si sawa.
Mzee baba Ruta kakujibu umeona?[emoji23][emoji23][emoji23]Photoshop
Sitaniii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemejiiiiiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaenda wapi tena?[emoji15][emoji15][emoji15]baki unipe kampani bhanaMlale unono jamani[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Wapi? Huwa sipati notifications...Mzee baba Ruta kakujibu umeona?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unanitega shemeji?[emoji23][emoji23]Sitaniii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi nimejibiwa? Semeni nilog off miye angalau nipumzike...Kabisaaa bora angetoa ahadi ya kumwaga mi likes
-Unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako.Vilevile wataalam wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyama nyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko 2 vikubwa vya asali na kijiko 1 cha mdalasini.Rudia mchanganyiko huo kabla ya kulala.Wataalam wamethibitisha kuwa inapunguza hamu ya kula na kuleta joto mwilini.