moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu kule kwetu kanda ya ziwa hairuhusihiwi kuchizika kwa penzi la mwanamke mpaka umfungulie mlango wa gari[emoji3] [emoji3] yeye mwanamke ndiye anayelazimika kukufungulia mlango wa nyumba saa 7'usiku unapotokea kwa mchepuko, kama hawezi atembee zake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]