Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

So what? Ukubwa wa eneo na utajiri kibao bila viongozi na jamii yenye maono vina faida gani?
df38b74b6eb7e912977df0aba4ffedb1.jpg
Hahahaha,siyo jambo la kucheka, lakini tufanye nini? Wazungu walichukua kwa mababu ambao tulidai eti walikuwa wajinga, lakini wachina wanapewa na wasomi wetu!!!
 
Ili kumuonyesha wewe ndio mama mwenye nyumba, utakuwa ukigomba na kumuelekeza namna ya kuvaa hasa wakati baba nani hii yupo. Utaenda sokoni kumnunulia nguo ambazo zitamfanya onekane kama mzee. Hii ikiwa ni njia ya kutaka kumlinda mumeo asiangukie kwenye mtego.
 
Lakini wewe upo busy kuvaa sketi fupi na vinguo vya kuacha maungo wazi kuonyesha wewe ndio mwenye mamlaka katika nyumba. Kitu ambacho hujui ni kuwa huyu msichana wa kijijini na yeye anajua namna ya kumpeti peti mwanaume kama wa mama wa vijijini.
 
Msichana atakuja wakati mumeo yupo sebuleni na kukunja goti kwa heshima akimuuliza kama anataka kuandaliwa maji ya kuoga. Sasa kwa mwanamke wa mjini hadi akunje goti labda wakati anatafuta remote ya Tv aangalie tamthiliya za kifilipino.
 
Mara ya mwisho mke wake kumuuliza kama anataka kuandaliwa maji ya kuoga, Tanzania ilikuwa chini ya mfumo wa chama kimoja. Mumeo atakunja gazeti lake, na kukubali kuwa aandaliwe maji.
 
Dada wa kazi ataandaa maji na kuhakikisha yapo katika joto linalotakiwa, asijeunguza ngozi ya bosi wake. Wakati huo mke wa mtu anachati na marafiki zake kwenye mitandao ya kijamii bila kujua upande wa pili anampoteza mume.
 
Dada wa kazi ataandaa maji na kuhakikisha yapo katika joto linalotakiwa, asijeunguza ngozi ya bosi wake. Wakati huo mke wa mtu anachati na marafiki zake kwenye mitandao ya kijamii bila kujua upande wa pili anampoteza mume.
Waendelee tu na umbea wa inst ili wadada wa kazi watuhudumie
 
Back
Top Bottom