myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji106][emoji106][emoji106]Zilipendwa avatar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niaje hukooo[emoji113] [emoji113]Kama kawaida yako. Yu neva disapointi....Nefaaa !!!
Bado hawajajua mikono ilivyofanya kazi hapa...Huko juu kabisa ya hilo lipiramidi kuna mawe yana tani mpaka 15, na yamechongwa kwa ustadi wa hali ya juu. Hata na utaalamu wa sasa inabidi uwe na mega winchi kufikia huko na kubeba uzito huo. Pengine ni kazi ya mikono ya Malkia ISIS na Amun RA....Mikono ya binadamu imefanya mengi
Duh! Tarehe 35....?
Habari yako shemeji yangu mzuri. Nimekumisimo sana[emoji23][emoji23]kivuruge kaingia
Unyanyasaji wa wanawake. Kuwashika makalio na chuchu bila ridhaa. Wanaume kazi tunayo !!!
Ndo maana nimezihifadhi maktaba...Zilipendwa avatar