Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen mkuu. Nilikuwa nikikuangalia wewe. Misiba yote ile mfululizo lakini bado ulikuwa na nguvu ya kunitia moyo na kuniambia nisikate tamaa. Pengine hujui lakini ni wazi Mungu Alikutumia kuniangazia nuru na kunitia matumaini. Ndiyo maana nasema tutaniane humu lakini sisi tumekuwa kama ndugu kabisa japo hatujuani. Mwezi wa nne ikibidi tukutane jamani angalau tupate nafasi ya kushukuriana ana kwa ana. Dunia imebadilika sana na unapopata mtu anayekujali hasa wakati wa shida basi ni bahati mno. Mungu Aendelee kukubariki ndugu yangu. You are one of a kind [emoji120][emoji120][emoji120]
Karibu sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Watu wana hofu kukutana kisa gavamenti, naweza zaliwa gavamentini lakini sio wao. Naweza kuwa na ndugu wa gavamentini lakini hawana nafasi kwenye maisha yangu kwa sababu si mmoja wao.
Tuache kuogopana au kuwindana, kuna maisha baada ya gavamenti.
 
Kwani gavamenti siku hizi inafuatilia maisha hata ya watu ambao hawana ishu nayo?
 
Naona Odinga bado anataka kuwa raisi.

Usalama umeimarishwa katika Bustani ya Uhuru mjini Nairobi, Kenya siku moja kabla ya shughuli ya kumuapisha kiongozi wa muungano wa upinzani nchini humo, NASA, Raila Odinga, kuwa ''rais wa wananchi''. Polisi imesisitiza kuwa hakuna mtu yeyote anayepaswa kwenda katika eneo hilo. Hata hivyo wafuasi kutoka katika ngome za muungano wa NASA wanaandaa mipango ya usafiri kuelekea Nairobi kushuhudia sherehe hizo zitakazofanyika kesho.
 
Wamemchekea sana huyu. Wamtupe kizuizini kwa muda atulie...Uchaguzi ususe wewe halafu tena ujiapishe?
 
f64d0e1c43491066d324a871139a55e6.jpg
 
Back
Top Bottom