Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siasa uchwara kama usemavyo.Wamemchekea sana huyu. Wamtupe kizuizini kwa muda atulie...Uchaguzi ususe wewe halafu tena ujiapishe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Am ati ze kona weitingi fo ze answa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha nitakunong'oneza tu usijaliHebu ninong'oneze mimi kwanza nivijue maana niko gizani
Kuepusha mgogoro kwenye familiaMbona ndugu yangu andjul mfukunyuku
Mpaka contract unaziamsha
Kwani ye andjul anakumbukaKama hukumbuki andjul atakukumbusha tu
Koh koh kohVitaje tu. Kompetisheni nini bana? As long as siyo msambwanda, it is no big deal [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]muoneeee!!!Si ungemalizia kwanza!! Pyeeeee..
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] hi hi hiiii hi hi hiiii (Mzee Majuto's voice)Funguka hapa hapa laivu bila chenga. Una vitu gani ambavyo Cole anavipenda? Najua hapendi misambwanda. Sasa ni vitu gani hivyo? [emoji101][emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]
Zitakuwa azijapotea hizo evidensi za picha kweliKuepusha mgogoro kwenye familia