carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Akikujibu nitag[emoji124] [emoji124]Vitu gani bro?
Karibu sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen mkuu. Nilikuwa nikikuangalia wewe. Misiba yote ile mfululizo lakini bado ulikuwa na nguvu ya kunitia moyo na kuniambia nisikate tamaa. Pengine hujui lakini ni wazi Mungu Alikutumia kuniangazia nuru na kunitia matumaini. Ndiyo maana nasema tutaniane humu lakini sisi tumekuwa kama ndugu kabisa japo hatujuani. Mwezi wa nne ikibidi tukutane jamani angalau tupate nafasi ya kushukuriana ana kwa ana. Dunia imebadilika sana na unapopata mtu anayekujali hasa wakati wa shida basi ni bahati mno. Mungu Aendelee kukubariki ndugu yangu. You are one of a kind [emoji120][emoji120][emoji120]
Naye masikini alikufa bila mtoto na nasikia eti wajanja walikuwa wanampumlia kisogoni. Hii dunia hii we acha tu...Nasikiliza nyimbo za huyo Luther aiseee[emoji7]
Ngoja nifikirie kama nakumbuka.Me nauliza kama unakumbuka
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Why only for one night?
Kwani gavamenti siku hizi inafuatilia maisha hata ya watu ambao hawana ishu nayo?Karibu sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Watu wana hofu kukutana kisa gavamenti, naweza zaliwa gavamentini lakini sio wao. Naweza kuwa na ndugu wa gavamentini lakini hawana nafasi kwenye maisha yangu kwa sababu si mmoja wao.
Tuache kuogopana au kuwindana, kuna maisha baada ya gavamenti.
Vitu ambavyo nikivitaja nitaanzisha competition na ww bro na mm sitaki hilo litokeeVitu gani bro?
Kama hukumbuki andjul atakukumbusha tuNgoja nifikirie kama nakumbuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee, mwenzio ndio umenikandamiza na jina hilo?Wewe unamwamini Prof. Masaksafoni?
Hebu ninong'oneze mimi kwanza nivijue maana niko gizaniVitu ambavyo nikivitaja nitaanzisha competition na ww bro na mm sitaki hilo litokee
Unakimbilia wapi sasa? Na baridi yote hii?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yamekosa nini?
Am ati ze kona weitingi fo ze answa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sanaaa,sema hayo yamekosa nanii tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante
Vitaje tu. Kompetisheni nini bana? As long as siyo msambwanda, it is no big deal [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Vitu ambavyo nikivitaja nitaanzisha competition na ww bro na mm sitaki hilo litokee
Kumbeeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Coleeeee!!!!
Wamemchekea sana huyu. Wamtupe kizuizini kwa muda atulie...Uchaguzi ususe wewe halafu tena ujiapishe?Naona Odinga bado anataka kuwa raisi.
Usalama umeimarishwa katika Bustani ya Uhuru mjini Nairobi, Kenya siku moja kabla ya shughuli ya kumuapisha kiongozi wa muungano wa upinzani nchini humo, NASA, Raila Odinga, kuwa ''rais wa wananchi''. Polisi imesisitiza kuwa hakuna mtu yeyote anayepaswa kwenda katika eneo hilo. Hata hivyo wafuasi kutoka katika ngome za muungano wa NASA wanaandaa mipango ya usafiri kuelekea Nairobi kushuhudia sherehe hizo zitakazofanyika kesho.
Aje tena?Kumbeeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Si ungemalizia kwanza!! Pyeeeee..Ndio[emoji6][emoji6]
Kwani we........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha nikamtafute peter kibatala[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]