Trump hana dogo. Ukimsema vibaya tu basi unalo...Trump aliona maoni ya Jay-Z na kuamua kumjibu mapema Jumapili asubuhi. “Mtu yeyote tafadhali wajulishe Jay-Z kuwa kwa sababu ya sera zangu, ukosefu wa ajira kwa watu weusi kwa sasa upo katika hatua ya chini” Trump alitweet.
Bro kuna vitu unaniambukiza kuhusu haya madubwasha
kuna watu humu siwaoni kama ukhuty, ISIS, na wengine hivi
Aaaiseeee nani sasa atabaki chama la wenye pasi,vumilia bana usiende kwenye misabwaxBro kuna vitu unaniambukiza kuhusu haya madubwasha