Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

417d2e65c278d7a071d5ddf7654f8a23.jpg
 
Hahahahhaaa

Ila mkionana kikweli kweli tena wote wanne au watano lazima mchekane kwa haya mnayoyaandika humu hayataendan na sura zenu hahahaaa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] yaani hata sitamani wanione, maana nitaonekana mbaba wa hovyo hovyo nisie stahili Shikamoo hata ya ndotoni.... Natia huruma mie[emoji17] [emoji18] [emoji19] [emoji19]
Ila nitawapokea kwa furaha iliyo tukuka pamoja na ujinga ujinga wangu wa humu
Karibuni sana Kibamba [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Me too,halafu hawajui kuandika kiswahili fasaha. Kama wao wana dawa za matajiri si wajitajirishe kwanza au ndugu zao duh utapel kila kona
Nilishangaa aisee. Mara oooh mjukuu wangu. Ile ndagu niliyokupa hela ndo hizo zimeanza kuingia sasa. Fuatilia masharti na hela zilizobakia za kununua mabasi zitakuja tu. Nipigie tumalizie mambo mengine. Mimi huwa nakemea na kudelete hapo hapo.
 
Hahahah acha hizo. Kwa ile picha ya kaka basi mdogo mtu upo vizuri kabisa.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] yaani hata sitamani wanione, maana nitaonekana mbaba wa hovyo hovyo nisie stahili Shikamoo hata ya ndotoni.... Natia huruma mie[emoji17] [emoji18] [emoji19] [emoji19]
Ila nitawapokea kwa furaha iliyo tukuka pamoja na ujinga ujinga wangu wa humu
Karibuni sana Kibamba [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
*Upo club unadance peke yako mdogomdogo.. Mara gafla kademu kana kusogelea kana kuangalia kana tabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kana kunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 3 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe kwako" mwanaume huna kitu Mfukoni, kwa M pesa wala Mshwari lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka, unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndipo utajua kwa nini idd Amini alikua wakiume lakini akaitwaa dada
 
Chinese couple living in Lilongwe gave birth to a black baby. In anger, husband asked the wife .... Chi,shoi tan shu jin {why d baby black? } She replied , shuntai tai laa toi malawi funshu waa toi shi c c {we live in Malawi , no electricity... Me hot, u hot , sex hot ... Baby burnt! }[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom