Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Upo club unadance peke yako mdogomdogo.. Mara gafla kademu kana kusogelea kana kuangalia kana tabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kana kunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 3 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe kwako" mwanaume huna kitu Mfukoni, kwa M pesa wala Mshwari lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka, unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndipo utajua kwa nini idd Amini alikua wakiume lakini akaitwaa dada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
65b1562a3fd69485171e3f89b4873e67.jpg
 
Back
Top Bottom