Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmmhhh mzeeee hatarrrr
8fbe095b380dbae79e67f1c87900c716.jpg
 
Mimi sasa sijui itakuwaje...maweeee! Kila mtu anajua mi katibu wa CHAWAMITA na vurugu zangu nyingine humu halafu mtu unatokeza bonge la mtakatifu yaani hata dalili za haya mambo ya humu huna. Itabidi kujikaza kiume tu kwa sababu hakuna namna...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu atupe ujasiri tuweze kukutana pasipo kuchekana wala kuoneana huruma.
Shikamoo yangu lazima niipokee, sitaki hayo majina mliyo nipachika (kuna muda wife ananiitaga 'mzee wa maparachichi') maana ninavyo chekaga lazima aingilie kati ajue kuna nini... Ana kutana na majina yangu ya hovyo hovyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom