Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bosss basi maan daahhh mnala ni 4g
Unapandisha mnara kwa picha za uso tu? You must be young and inexperienced. Pole. Kazania masomo mkuu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
6380df83e7367ee4298ead5595c856c7.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo siku waweza cheka hadi ujute
Hafla unashangaa andjul ni kakayako,hujakaa vizuri shimba ni mwalimu wako wa hisabati shuleni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikitokea ukawa mwanafunzi wangu haki ya nani nakulima viboko mbele ya Andjul liwalo na liwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Mimi sasa sijui itakuwaje...maweeee! Kila mtu anajua mi katibu wa CHAWAMITA na vurugu zangu nyingine humu halafu mtu unatokeza bonge la mtakatifu yaani hata dalili za haya mambo ya humu huna. Itabidi kujikaza kiume tu kwa sababu hakuna namna...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaangalia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara paap.."mimi ndo shimba ya buyenze aka mwenyekiti wa chawamita"
[emoji23][emoji23][emoji23]haki ya nani...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu atupe ujasiri tuweze kukutana pasipo kuchekana wala kuoneana huruma.
Shikamoo yangu lazima niipokee, sitaki hayo majina mliyo nipachika (kuna muda wife ananiitaga 'mzee wa maparachichi') maana ninavyo chekaga lazima aingilie kati ajue kuna nini... Ana kutana na majina yangu ya hovyo hovyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba:shkamoo shemeji,mzee wa ma[emoji449] [emoji449] [emoji449] [emoji449] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom