Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya madini ni ya wapi toa address
a3668b3855aad7298ede39ae7de1022f.jpg
 
Haya madini ni ya wapi toa address
Nikikupa address then I will have to kill you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

===> Nina program huwa ina-extract picha kwenye websites. Nitakuangalizia na nitakutumia. Hata sikumbuki specific site ila ni Tumblr...
 
Hahahahhaaa

Ila mkionana kikweli kweli tena wote wanne au watano lazima mchekane kwa haya mnayoyaandika humu hayataendan na sura zenu hahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo siku waweza cheka hadi ujute
Hafla unashangaa andjul ni kakayako,hujakaa vizuri shimba ni mwalimu wako wa hisabati shuleni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] yaani hata sitamani wanione, maana nitaonekana mbaba wa hovyo hovyo nisie stahili Shikamoo hata ya ndotoni.... Natia huruma mie[emoji17] [emoji18] [emoji19] [emoji19]
Ila nitawapokea kwa furaha iliyo tukuka pamoja na ujinga ujinga wangu wa humu
Karibuni sana Kibamba [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Heeee!!umeanza
Shimba muone huyu
 
Back
Top Bottom