carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nilianzisheeee[emoji41][emoji41][emoji41]sema kama uko tayariI feel like facing any trouble....
Savage[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na mara nyingi ni kama wazazi wa pili,huwajali na kuwaangalia nduguzao wanaofuata.
Unaulizia "food" Au food?Which type of food? Nauliza tu.
Haja tupo pamoja.Haya samahani mkuu...
Chapati maandazi pilau[emoji23] [emoji23] na kile kingine pendwa najibu tuu BAK[emoji125] [emoji125]Which type of food? Nauliza tu.
Unataka kukodi na matarumbeta kabisa na timu ya wasutaji ama? Ungeenda kulianzishia chumbani ingependeza zaidi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilianzisheeee[emoji41][emoji41][emoji41]sema kama uko tayari
Sisi malast born hatuyajui hayo. Sisi tunajua kudeka tu basi...Na mara nyingi ni kama wazazi wa pili,huwajali na kuwaangalia nduguzao wanaofuata.
[emoji23][emoji23][emoji23]muoneeeeUnataka kukodi na matarumbeta kabisa na timu ya wasutaji ama? Ungeenda kulianzishia chumbani ingependeza zaidi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize mzee wa maparachichi atakwambia vizuriSisi malast born hatuyajui hayo. Sisi tunajua kudeka tu basi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie watu ni tatizo sanaIkitokea ukawa mwanafunzi wangu haki ya nani nakulima viboko mbele ya Andjul liwalo na liwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️