Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Pole mkuu. Hata sitaki kujua uliona na kusikia nini. Mungu ni mwema jana, leo, kesho na hata milele [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu ni wa ajabu kabisa. Mwaka 2008 nilipata ajali ya hovyo sana,nilicho kiona na kukisikia.... Hakika Mungu ni mkuu[emoji120] [emoji120]