Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usibane brake wakati wa kusimama bila ya kukanyaga Clutch
Wakati unapotaka kusimama ni muhimu sana kukanyaga clutch. Cha kuzingatia hapa ni muda wa kubana clutch,
 
57d47c9aca6a2e76e7dc861d5d6a01bc.jpg
 
Subiri nije nikupeleke nikakulinde. Peke yako usiende unless kama unataka kwenda kupambana na masaksafoni mazito manene marefu. Nakuhurumia ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Aaaaaaaaaaa jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hayo madude tena!!
 
*ENZI ZA PRIMARY*
*John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri wa..*
*1.john*
*2.Baba*
*3.Mama*
*......Hilo swali nilikuwa naliruka...Sio kwamba* *nilikuwa siliwezi ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za* *watu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom