Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama ulilzima gari lako kwa muda mrefu sana ni bora ukaliacha kwa muda baada ya kuliwasha ili engine ipate joto la kutosha na kufanya vimiminika vyote katika gari kutawanyika na kufika katika maeneo husika katika kiwango stahiki. Hii italifanya gari lako lidumu kwa muda mrefu na itakupunguzia garama ya kufanya marekebisho mara kwa mara