Hahah katoto fulani kanoita mimi baba mkibwaHahahahahahaha....ye ni nani!?
Nzuri BigBaba hiyo avatar yako inaiba attention...Babe S Habari ya mchana
Sawa mkuuuAkija mwambie atoe likes
Hahahahahaha dah nacheka sanaUkikaa vibaya watu wanawinda hadi kwenye zizi la mtu
Usinionee bure, mbona wote tumefanya makosa ya aina moja?Nimekuruka sasa
Poa kabisa BBUniq Habari ya mchana
Hahahaha hayo machngwa ya kuenea kwenye mfuko wa suruali.....naona nitayakataaBabe s nimerudi na zawazi ya machungwa mengi ndani ya mifuko ya suruali yangu.
AMUN RAUNIVERSE TAKE CONTROL
HahahhahahahahhahhahUsinionee bure, mbona wote tumefanya makosa ya aina moja?
Shwarii..were jeMnyoyambendi Habari ya mchana
Cool vipiNiaje..