Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hawa nao ni binadamu..nyuzi hizi ni upupu tu..rubbish
Kuna mtu ananiombea niteseke sijui yale maombi yameanza kufanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23]Nani ameukatisha? KaYego ama? Baridi hapa kali vibaya...Dah !!!
Niko nyumbani ila usingizi umekata[emoji17][emoji17][emoji17]
Nani ameukatisha? KaYego ama? Baridi hapa kali vibaya...Dah !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Embu kuja huku tupige story bana, usingizi are overrated! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hakuna sehemu wanauza usingizi jamani?
Wewe nadhani uko ngangari huwezi kuteseka...Wanateseka wazembe na weaklings....Kuna mtu ananiombea niteseke sijui yale maombi yameanza kufanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseh!sijui tubadilishane uje huku nije huko maana huku joto hatari
Hakuna mbu hukuNikuletee dawa ya mbu?
Hakuna mbu huku
Me naona maombi yameanza kujibu aiseh!si kwa style hii.Sijapata insomnia kitambo sana ujue?Wewe nadhani uko ngangari huwezi kuteseka...Wanateseka wazembe na weaklings....
Aisee siyo kwa kipupwe hiki. Nakumbuka home balaa yaani. Heri ya joto la Dar mara 100 kuliko baridi hili. Trust me...Ila kama unaye kipenzi....yaweza kuwa hali ya hewa shawishi balaa...
Mbona unanicheka sasa?[emoji22][emoji22][emoji23][emoji23][emoji23]...
Mbona unanicheka sasa?[emoji22][emoji22]
Ngoja tu ninywe maji nijaribu kulala tena[emoji112][emoji112][emoji112]Nikuletee nini ili upate usingizi?
Ngoja tu ninywe maji nijaribu kulala tena[emoji112][emoji112][emoji112]
Unanitega eeeh??[emoji23][emoji23][emoji23]taratibu basi[emoji85] [emoji85]View attachment 687898
What about this one? [emoji23][emoji23]
Unanitega eeeh??[emoji23][emoji23][emoji23]taratibu basi[emoji85] [emoji85]
Ila aliyegundua hii kitu sijui aliwaza nini aiseh!
We leta tu,sikatai vitu vizuri mimi huo ujasiri sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema nikuletee saa hii! [emoji1][emoji1][emoji574]️[emoji536]
We leta tu,sikatai vitu vizuri mimi huo ujasiri sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me naona maombi yameanza kujibu aiseh!si kwa style hii.Sijapata insomnia kitambo sana ujue?
Popote alipo ajue kutesa kwa zamu na yeye atapata insomnia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ajiandae[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mh!kweli tupo tofauti me nachagua baridi badala ya joto,joto linatesa ujue?