Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia jamaa alivamiwa jana usiku[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

- Vinara wa upinzani wa muungano wa NASA wametangaza kuhofia maisha yao baada ya mwenzao Kalonzo Musyoka kuvamiwa kwake nyumbani usiku wa kuamkia leo.
DW
Kenyatta ni dhaifu...Au anaogopa kurudishwa The Hague na bibie Bansouda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…