carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Me naomba tu nipunguziwe dozi maana jana dozi ilinizidi mnoo na vile hata sikuonewa huruma kama leo natakiwa kujihim mapema kazini[emoji23][emoji23][emoji23]Hii juisi Mavi nimeipenda kwa kweli japo ina kaharufu fulani hivi korofi.
Mateso yatakoma soon...Maelezo yanakuja...
Nasubiri