ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Carba...Shemejiyo mtata kaja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ya kumla samaki kitafunwe kichwa kwanza,ili afe kabisaa...
Baada ya hapo ni kuusambalatisha mkia kwa staili uitakayo...
Kambale wa maji chumvi watamu sana
Toka huko eti tupo tupo tu,muone!
Sisi wazee wa kuanza kujitegemea mapema na hatujui kudeka deka ovyo ovyo kama ma last born[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unanyonyage hadi 7yrs??ndo mana mnaishia kunyonya mavidole
Out of the game sasa limebakia kujiuza tu mitandaoni...$50 unalifanya unavyotaka...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] wamehamia kumung'unya maparachichi...