Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chaguo ni lako Mkuu. Wengine hupenda kuanzia mkiani na kupanda juu. SOOOOOOO RAVEN

 
Hahahahaha lol! Kumbe samaki huyu huwa bado yu hai eeh! Mie nilidhani wakati wa kumsafisha mapafu, tumbo lake na magamba alikuwa amesha surrender 🙂🙂🙂

Raha ya kumla samaki kitafunwe kichwa kwanza,ili afe kabisaa...
Baada ya hapo ni kuusambalatisha mkia kwa staili uitakayo...

Kambale wa maji chumvi watamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…