myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Joyce naweza kusema hana akili,mambo yako ya kifamilia huwezi kuyaweka public hivi hata kama mumeo yuko na mapungufu.Joyce anamuonea kamanda
Huku kheri kabisa tunashukuru Mungu.Kwa kweli Mungu ni mwema. Vipi huko?
Huku alhamdulillah tunashukurusabal heri jiraniii... waonaje hali yako
kwangu salama kabisa. Mungu akupe afya na amani..upate yale unayoyataka jirani..Huku alhamdulillah tunashukuru
Sijui huko
Inshaallah jirani[emoji120][emoji120]kwangu salama kabisa. Mungu akupe afya na amani..upate yale unayoyataka jirani..