Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha tangu atoke koromije anafunguka tu
Numbisa wewe ndiyo wa kulaumiwa. Mpaka mwaka jana tu hapa nilikuwa naogopa kuandika humu...Ooo sijui watu watanifikiriaje...Oooh mara hivi...Halafu nikakufahamu wewe na ungangari wako hasa mtu akikuchokoza. Na ukaweka wazi kuwa hujali na kama mbwai ni mbwai tu. Ndipo nami nikapambazukiwa na ukweli huo. Tangu wakati huo niko huru sana hasa katika matani haya na vicheko vya humu. Kama kuna anayekereka anasema tu na kama ana sababu ya msingi anapata samahani yake na mambo yanakwenda. Niacheni nifurahie uhuru wangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaa hureeee yeba yebaaaaa funguka bana ndo burudan ya uzi wetu pendwa. Kuwa anonymous raha sana full kujiachia. Mie mwenyewe nimejifunza ungangari baada ya kutishiwa na mtu fulan pm kuleeee wakati nikiwa mgen kuja kuchat na mwenyej mwingine akanambia huyo kakutisha tu uoigope JF duh nikaanza test kuwa mkorofi nione kitakachotokea kumbe ndo mwanzo wa kuonja asali nikachonga mzinga hahaha JF bana
 
Shemeji yangu kavurugwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muacheni tu aendelee kufunguka jamani
Utafikiri mi ndo wa kwanza kujiripua humu. Kila siku mabomu yanaripuka tena mengine ya nyuklia kabisa hamsemi. Acheni Hizo bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
090ec33b1ca8ff743532e7149ea32b88.jpg
 
Numbisa wewe ndiyo wa kulaumiwa. Mpaka mwaka jana tu hapa nilikuwa naogopa kuandika humu...Ooo sijui watu watanifikiriaje...Oooh mara hivi...Halafu nikakufahamu wewe na ungangari wako hasa mtu akikuchokoza. Na ukaweka wazi kuwa hujali na kama mbwai ni mbwai tu. Ndipo nami nikapambazukiwa na ukweli huo. Tangu wakati huo niko huru sana hasa katika matani haya na vicheko vya humu. Kama kuna anayekereka anasema tu na kama ana sababu ya msingi anapata samahani yake na mambo yanakwenda. Niacheni nifurahie uhuru wangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakerakaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi unayovuta imezidi kiwango eeh...

On serious note;furahia maisha yako bhana maisha yenyewe mafupi haya kama huvunji sheria za nchi ni sawa tu.
Kuwa huru shem darling.....
 
Utafikiri mi ndo wa kwanza kujiripua humu. Kila siku mabomu yanaripuka tena mengine ya nyuklia kabisa hamsemi. Acheni Hizo bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
090ec33b1ca8ff743532e7149ea32b88.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sijakataa mbona?mwenyewe mbona nafunguka?
Funguka tu hasa kama huvunji sheria za nchi wala humkwazi mtu,kuwa huru
 
Back
Top Bottom