myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
17:20
jioni ya mwisho wa mwezi hiyoo
Sijambo ndugu yangu. Vipi huko? Wapwa zangu hawajambo? Na sis je? Wasalimie sana !!!Eeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .........nya uvyotaka...
Ha wa yuuuu shemeji yangu[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usichanganye madesa. Huyo anaongelewa first born...wa kwanza....Afadhali SHIMBA YA BUYENZE nasubiri zawadi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwezi kuwapata...Ayaaa hii ofa ningepewa mie ningeleta kumi kidogo hahaha
Kwani bi mkubwa alishaanza kwenda kijiweni kwake?Huku kheri kabisa tunashukuru Mungu.