Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa kutoka kwa OCPD wa Karen, Cunnigham Suiyanka amethibitisha taarifa hizo leo Jumatano Januari 31, 2018 kuwa ni kweli bomu hilo limelipuka katika nyumba hiyo na hakuna hata mmoja aliyeripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo.
 
Hayo yamejiri ikiwa ni masaa machache tangu Kalonzo Musyoka kutotokea jana Januari 30, 2018 kwenye sherehe za kujiapisha kwa kiongozi Mkuu wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga kuwa Rais wa wananchi wa Kenya sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Nairobi.
 
Dkt. Nchemba amesema hayo leo wakati wa uzinduzi wa Hati ya kusafiria ya kielektroniki jijini Dar es Salaam ambapo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
 
kiasi cha gharama hiyo ni sawa na Sh15,000 kwa mwaka kwa sababu itatumika kwa miaka 10. Gharama za kupata pasipoti sasa ni TSh.50,000 na hutumika kwa miaka 10 tangu zilipotolewa,“ amesema Dkt. Mwigulu.
 
Hata hivyo Rais Magufuli amesema kuwa gharama ya laki moja na nusu bei hiyo ni ya juu kidogo kuliko bei ya sasa . huku kieleza kuwa bei hiyo imezingatia ubora wa utenngenezaji wa Pasipoti hiyo.
 
Japo matoleo yaliyopita ya nguo hizo yalionekana kutofanya vizuri ikiwemo Yeezy Season 4, lakini Kim ameonekana kutumia nguvu kubwa kwenye mitandao yake ya kijamii kuhakikisha nguo za Yeezy Season 6 zinafika mbali zaidi.
 
Kwa kiasi fulani sawa lakini kwangu mimi kiumbo sura siyo ishu sana ...Ishu yangu kubwa nadhani inaeleweka...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Sura hata mbuzi anayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa saanaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…