Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

87c355746b796fc85cb73537dedb41b9.jpg
 
*HOTUBA YA MHE. JENISTA MHAGAMA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WATU WENYE ULEMAVU AKIWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WATUMISHI WA UMMA WA MWAKA 2018.*

[HASHTAG]#Muswada[/HASHTAG] huu unapendekeza kuunganishwa mifuko ya Pensheni ya PSPF, LAPF, GEPF na PPF ili kuanzisha Mfuko mmoja wa Hifadhi ya Jamii.

[HASHTAG]#Hatua[/HASHTAG] ya kuunganisha mifuko ya Pensheni inalenga kukidhi kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi kuhusu kuunganisha mifuko hiyo ili kupunguza gharama za luendeshaji.

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] inayopendekezwa itaweka mfumo madhubuti utakaomhakikishia mwanachama kulipwa mafao ya msingi kama inavyoeleza Katiba ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania ya 1977 Ibara ya 11 (1).

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] inayopendekezwa inabainisha kwa uwazi Jumla ya mafao 7 yatayolipwa na mfuko huu ikiwamo *Fao la Pensheni, Fao la warithi, Fao la Ulemavu, Fao la Uzazi, Fao la Ukosefu wa Ajira, Fao la Ugonjwa na Fao la Kufiwa.*

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] inaweka utaratibu bora na ulio rahisi wa wanachama wa mifuko inayounganishwa kuhamia kwenye mfuko mpya pasipo kuathiri mafao yao na uendelevu wa mfuko mpya.

[HASHTAG]#Kuweka[/HASHTAG] bayana kwamba mafao na michango ya wanachama haitatozwa kodi kama ilivyokwisha bainishwa katika sheria ya kodi.

[HASHTAG]#Kiwango[/HASHTAG] cha Uchangiaji kitakuwa ni asilimia 20 ambapo mwajiri atachangia asilimia 15 na mwajiriwa atachangia asilimia 5 ya mshahara wake.

[HASHTAG]#Kuweka[/HASHTAG] mfumo madhubuti utakaohakikisha mwanachama anapata mafao kwa wakati ikiwamo kwa kuutaka mfuko kumlipa mwanachama aliyekidhi vigezo mafao yake hata kama mwajiri hajawasilisha na baadae mfuko utafuatilia michango ambayo haijawasilishwa kutoka kwa mwajiri.

[HASHTAG]#Kuainisha[/HASHTAG] adhabu ya tozo ya Asilimia 5 kwa mfuko utakaochelewesha mafao ya wanachama.

[HASHTAG]#Kuainisha[/HASHTAG] adhabu ya tozo ya Asilimia 5 kwa mfuko utakaochelewesha mafao ya wanachama.

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] hii itamwezesha mwanachama kutumia mafao yake kujipatia mikopo ya nyumba na shughuli nyingine za kiuchumi kwa riba nafuu.

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] hii inaainisha kwa uwazi haki na stahili za warithi pale mwanachama au mstaafu anapofariki.

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] inaondoa kilio cha muda mrefu cha wastaafu katika utumishi wa umma kuhusu kukoma kwa mafao/pensheni pale mstaafu anapofariki dunia, sheria hii inaruhusu wategemezi kuendelea kupokea mafao kwa kipindi cha miezi 36.

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] inapendekeza kuboresha masharti kuhusu fao la uzazi ambapo pamoja na kupata fedha taslimu baada ya kujifungua, mwanachama pia atapata huduma za matibabu kabla na baada ya kujifungua endapo huduma hizo hazilipwi na NHIF.

[HASHTAG]#Mwanachama[/HASHTAG] atakuwa na fursa ya kupata fao la uzazi mara nne katika kipindi chote cha ajira.
 
Katika mitanange mitano iliyopita kati ya timu hizo, Spurs wameshinda miwili na Man United wakacheka mitatu.

Na hata ule wa mwisho ambao ulichezwa Oktoba 28, mwaka jana, katika Uwanja wa Old Trafford unaoingiza mashabiki 74,994, ni Man United ndio walioibuka na ushindi wa bao 1-0.
 
Vikosi

‘First eleven’ ya Spurs inatarajiwa kuwa na Hugo Lloris, Aurier, Sanchez, Vertonghen, Davies, Dier, Dembele, Eriksen, Alli, Son na Kane.

Kwa upande wa Man United, kikosi cha kwanza cha Mourinho kitakuwa na De Gea, Valencia, Lindelof, Jones, Shaw, Matic, Pogba, Herrera, Sanchez, Rashford na Lingard.
 
Macho kwa Sanchez, Kane

Kuna uwezekano mkubwa wa Alexis Sanchez kucheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu England akiwa na ‘uzi’ wa Man United.

Hata hivyo, wengi watataka kuona kama ataweza kuwafunga Spurs ambao aliwatungua wakati alipoiwezesha Arsenal kupata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa Novemba.
 
Back
Top Bottom