Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9563d58eb9430bdd90fc3a024cf6660f.jpg
 
Jamanii ngumi za nini sasa?[emoji134][emoji134][emoji134]
Sirudii tena usijenitoa meno bure nikashindwa kula nyama na kucheka[emoji28][emoji28]

Sema leo umenichekesha sana,asante!!
Nimpigie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Asante na kwako pia. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Muone...Kama vile ushawahi nishuhudia kwenye siriisamu nikiwafakamia... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siriiiiiii waaaaaaaaat??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina imani na akili zako siku hizi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilikuwa nahakiki jina la shemeji yangu kama ndio lile la zamani lenye herufi 15?
Hakika ndiye yeye SHIMBA YA BUYENZE[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji124] [emoji124] [emoji124] Dahh!!! Jeiefu kuna raha sana
 
Back
Top Bottom