Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bhagosha !!!!
Bhagosha !!!!
...marefu, manene, mazito yaliyopinda kama sakisafoni... [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Maparachichi marefu na manene
Chenza limekuacha mdomo wazi MD Carba, chezeya utamu wa chenza weye!🙂🙂
Uzi wa mzee wa Maparachichi
Maparachichi marefu na manene
Mzee wa saxaphone ndefu
Mzee wa nusu chenza
Ndo sehemu pekee kwa wengine tulio jeruhiwa mioyo tunapopatia tiba na faraja.Uzi uliowaweka pamoja mkulima wa maparachichi wa Tukuyu, mfuga ng'ombe wa Koromije na mvuvi wa pweza wa ukanda wa pwani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
AminaNdo sehemu pekee kwa wengine tulio jeruhiwa mioyo tunapopatia tiba na faraja.
Mbarikiwe sana. Mungu aendelee kuwajaalia afya njema[emoji120] [emoji120]
Sawa kabisa mzee baba[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ni tunda ndani ya tunda Mkuu.
Wee mzee ni tatizo sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]...marefu, manene, mazito yaliyopinda kama sakisafoni... [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Huyu shemeji yangu huwa ananipa majibu bisiyoyatarajia,nabaki kushangaa tu lol!Chenza limekuacha mdomo wazi MD Carba, chezeya utamu wa chenza weye!🙂🙂
Iliyopinda kushoto....Mzee wa saxaphone ndefu